A MAN WOKE HIS WIFE IN THE MIDDLE OF THE NIGHT TELLING
HER........................... .......
"Bibi eeh? Bibiye? 'Nashikwa na mkojo!!"
The wife said.............. "Salaalah! Si wende kwani
mpaka uniamshe???"
He said "HAYA BIBIYE!!" He came back saying again
"BIBIYE! BIBYE! Nataka nikuambie maneno ya ajabu!!"
Now angry for being woken up for the second time?..She
said "Salaala! Mwanamume kama hilo tembo huliwezi,
usilewe yakhe bwana!! Haya, kitu gani tena cha ajabu
ambacho hujaniambia wataka kuniambia tena?"
He said "Nilipokwenda chooni, nilipofungua mlango taa
ikawaka na nilipofunga mlango taa ikazimika
yenyewe....Si maajabu tena hayo!?!"
The wife sat up! & said "Mlanisi, shetwani mjukuu wa
Ibilisi Mshenzi weewee!!!!! Ushakojoa tena ndani ya
fridge!!!!!!"
1 comment:
nice one!!!tihihi!ati kwa fridge?
Post a Comment